Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa ziarani nchini Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa ziarani nchini Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa ziarani nchini Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Cuba ukiongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa Ikulu Jijini Dar es salaam
EmoticonEmoticon