Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisali mara baada ya kuweka Shada la Maua
kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi
ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiweka mchanga kwenye Kaburi la marehemu Mzee
Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee
Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Wiliam Mkapa
pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara
baada ya kuweka udogo kwenye kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale
Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wajukuu wa marehemu pamoja na wafiwa wengine wakiwa
katika hali ya majonzi makaburini hapo.
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Wiliam Mkapa akiweka shada
la maua katika kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika
Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waombolezaji mara baada ya maziko
ya marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni
jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU