Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombolezo ya msiba wa Kingunge Ngombale Mwiru kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kutoa heshima za mwisho. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Rais
Mstaafu wa Serikali ya awamu ya pili, Alhaji Alli Hassan Mwinyi
akisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombolezo ya msiba wa Kingunge
Ngombale Mwiru kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam muda
mfupi kabla ya kutoa heshima za mwisho.
Rais
Mstaafu wa Serikali ya awamu ya pili, Alhaji Alli Hassan Mwinyi akitoa
heshima zake mara baada ya kumaliza kusaini kitabu cha kumbukumbu cha
maombolezo ya msiba wa Kingunge Ngombale Mwiru kwenye viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kutoa heshima za
mwisho.
Rais
Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha
kumbukumbu cha maombolezo ya msiba wa Kingunge Ngombale Mwiru kwenye
viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kutoa
heshima za mwisho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa mwanasiasa
mkongwe na kiongozi wa muda mrefu marehemu Kingunge Ngombale Mwiru
kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mama Maria Nyerere akiwasili katika viwanja vya Karimjee
Baadhi
ya viongozi wa kiserikali na chama wakiwa katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam wakati wa tukio la kuagwa kwa mwili wa Kingunge
Ngombale Mwiru
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati wa kutoa heshima za mwisho
katika viwanja vya Karimjee.
Mwili wa Marehemu Kingunge Ngombale Mwiru ukiwasili kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan pamoja na baadhi ya viongozi wa kiserikali na chama wakiwa
katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam wakati wa tukio la
kuagwa kwa mwili wa Kingunge Ngombale Mwiru
Baadhi
ya wanafamilia wa Marehemu Kingunge Ngombale Mwiru wakiwa katika
viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam wakati wa tukio la kuagwa kwa
mwili wa Kingunge Ngombale Mwiru
Jeneza
lililobeba mwili wa Marehemu Kingunge Ngombale Mwiru likiwa kwenye
viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa leo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimpa mkono wa pole mtoto wa kiume wa marehemu Kingunge anayefahamika
kwa jina la Kinjekitile mara baada ya kutoa heshima za mwisho katika
viwanja vya Karimjee.