JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Anwani ya simu: “MAKAMU” Mtaa
wa Makole,
Simu Na.: +255 026 2329006 Jengo
la LAPF,
Fax Na.: +255 026 2329007 S.L.P
2502
Barua Pepe: km@vpo.go.tz 40406
DODOMA.
TANZIA
Ofisi
ya Makamu wa Rais inasikitika kutangaza kifo cha Bi. Mary J. Lugola Mke wa
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Lugola kilichotokea leo tarehe
01/01/2018 jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi na taratibu za mazishi zitatolewa
baadae.
Mungu
aipumzishe roho ya Marehemu mahali pema peponi, Amina.
Imetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais,
Dodoma Tanzania.
01
Januari, 2018