Umeanza kufuga sungura na unakabiliwa na changamoto
mbalimbali za ulishaji na magonjwa?
Au unataka kuanza ufugaji wa sungura na hujui jinsi ya
kufanya?
Kubwa zaidi ni hili; unataka kufuga au unafuga, lakini HUJUI WAPI PA KULIPATA SOKO LA SUNGURA?
Yawezekana ulipata mafunzo, ukalipa fedha nyingi kununua
mabanda, mbegu na chakula, lakini waliokupatia mafunzo wakati huo wamekukimbia
na hata unapowatafuta ili wakusaidia changamoto zinazokukabili hawaonekani.
Yawezekana pia umeingia kwenye mikataba mbalimbali na baadhi
ya watu waliokuaminisha kwamba wao wanalo soko
la sungura - wengine wakakwambia wanasafirisha kupeleka Arabuni au Kenya -
lakini mpaka sasa hawakusaidii lolote japo walikuahidi watakupatia na wataalam
wa kuwahudumia wanapoumwa.
Umechanganyikiwa kwa kuona kwamba umepoteza muda na
rasilimali zako kwenye ujasiriamali ambao waliokufundisha wamekukimbia na
ukiwapigia ama hawapatikani au wanakujibu kwa ujeuri.
Usijali, hujapotea bado na sasa ondoa hofu kabisa. ANZA
MWAKA MPYA KWA FIKRA MPYA ZENYE MAENDELEO!
PIGA NAMBA HII +255 656 331974 ILI KUPATA MWONGOZO HUU kwa kuchangia BEI NDOGO TU YA SHS.
20,000/= ili uweze kupata nakala hii kwa njia ya mtandao popote ulipo.
Utajifunza mengi ndani ya mwongozo huu ambayo ni pamoja na
ufugaji bora, uhudumiaji, utafutaji wa masoko, MAGONJWA kujua dalili zake,
jinsi ya kuyatibia na namna ya kuyakinga!
Kumbuka tu kwamba, biashara yoyote unahitaji vitu vikuu
vitatu au vinne: Elimu sahihi ya biashara unayotaka kuifanya; SOKO – nani wateja
wa bidhaa zako?; Mtaji wa biashara; na Muda.
Kwa kuwa unatumia gharama hasa katika mtaji, ni vyema
ukapata elimu sahihi pamoja na kujua namna ya kutafuta masoko, kinyume chake
utakuwa unafanya kazi ya Muhanga, mnyama ambaye kazi yake ni kuchimba mashimo
halafu anashindwa kuishi!
Epukana na madalali wanaoweza kukupotosha ambao wao
wanatafuta fursa tu ili wapige dili hasa baada ya kukuuzia mbegu na mabanda
halafu wanakuteleza.
WASILIANA NA DANIEL
MBEGA KWA SIMU HII +255 656 331974 ILI UPATE NAKALA YAKO SASA!!
--
Brother Danny Blog (Kisima cha Hekima na Busara)
Cell: +255 - 715 - 070 109
Whatsapp: +255 - 656 - 331 974