RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MELI YA HOSPITALI YA CHINA, AAGANA NA KUSHUKURU WANAMAJI NA MADATARI WALIOKUJA NAYO

November 27, 2017
c1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la wanamaji wa Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c2 c3

c4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali na Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin   alipoitembele aleo Jumapili Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c5 c6

c7

c8 c9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akioneshwa video inayoonesha shughuli za Meli ya Hospitali ya China alipoitembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c10

c11 c12
Baadhi ya Wachina waishio nchini wakiwa Bandarini wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c13
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitelemka kutoka katika Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 wakati Rais Dkt. Magufuli alipoitembelea kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c14
Baadhi ya Wachina waishio nchini wakiwa Bandarini wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c15
Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin  akiongea wakati Rais Dkt. John Pombe Magufuli  alipowatembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja na meli hiyo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c16
Rais Dkt. John Pombe Magufuli  akimshukuru Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin  alipowatembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja na meli hiyo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c17
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipeana mikono na  Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipowatembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja na meli hiyo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c18
Baadhi ya Wafanyakazi  wa Bandarini wakifuatilia kinachoendelea wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c19
Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeho akiongea wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c20
Balozi wa China nchini Mhe Wang Ke akiongea wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c21 c22
Wanamaji wa Jeshi la Wananchi la Tanzania wakiwa katika hafla ya ujio wa Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c23
Maafisa na Wanamaji wa Jeshi la Wananchi la China  wakiwa katika hafla ya ujio wa Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c24
Baadhi ya Wachina waishio nchini wakiwa Bandarini wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c26
Wanahabari wa China nwakiwa bega kwa bega na wanahabari wa Tanzania wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c27
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wafanyakazi wa Bandari  alipoitembele Meli ya Hospitali ya China  Jumapili Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
c28a
Rais John Pombe Joseph Magufuli akitelemka kutoka katika Meli ya Hospitali ya China alipoitembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
PICHA NA IKULU

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »