Kaimu
Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiongoza kikao cha
Secretariet ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa kwa maandalizi ya vikao vya
kikanuni vya Umoja wa Vijana wa CCM vitakavyofanyika Dodoma ambapo
pamoja na mambo mengine vitajadili waombaji wa nafasi mbali mbali za
uongozi kwa nafasi za Mkoa na Taifa kupitia Umoja wa Vijana wa CCM kabla
kuwasilisha katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi kwa uteuzi wa
mwisho.(picha na Fahadi Siraji wa UVCCM )
EmoticonEmoticon