Msanii chipukizi
kwenye muziki wa Bongo fleva, Vicent Petro ambaye kwa jina la sanaa
anatambulika kama ‘Nivo’ aliyewahi kuachia ngoma yake moja ambayo inaitwa ‘Idea’
amefungukia yake kutoka moyoni kuhusu wasanii
Wachanga, kutokana na jinsi
ambavyo huwawanakosea mashariti katika
Muziki ikiwa ni pamoja na utovu wa nidhamu.
Nivo akiwa
kwenye interview Super News TV katika
kipindi kizuri cha ‘New Talents Tanzania’ kinacho wapa fursa wasanii wachanga
kuonyesha uwezo wa vipaji vyao, Nivo alifafanua pia baadhi ya mambo yanayo
wakabili wasanii wachanga kiasi kwamba Muziki wao unashindwa kukua na kuweza
kutimiza malengo yao. Tumia dakika zako
kadhaa kutazama Mahojiano yake hapa.
EmoticonEmoticon