Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akizungumza na Kaimu Katibu wa umoja
wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka (kushoto)
wakati alipomtembelea, nyumbani kwake mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akimwonyesha kaimu katibu Mkuu wa
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka
kinyango chenye uzito wa tani 1 wakati alipomtembelea, nyumbani kwake
mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akimwelezea kaimu katibu Mkuu wa
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka picha
iliochorwa na Mwanafinzi wa darasa la saba Mwaka 1982 wakati wa hali
ngumu ya uchumi nchini.
Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akimwelezea kaimu katibu Mkuu wa
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka picha iliyochorwa na mjuu wake ikimuonesha yeye na Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Picha ya pamoja Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela na Kaimu katibu Mkuu wa
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka picha
Kaimu katibu Mkuu wa
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka akimuaga Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela alipomtembelea nyumbani kwake Mtaa wa Kilimani Mjini Dodoma(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)
EmoticonEmoticon