Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungungumza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto, ambaye pia ni Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi
Kigwangalla kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni, 4, 2017.(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga kwenye viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma Julai 4, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete kwenye viwanja
vya Bunge Mjini Dodoma Julai 4, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Mufindi Kusini, Medard Kigola kwenye viwanja
vya Bunge mjini Dodoma Julai 4, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiteta na Mbunge wa Viti Maalum, Faida Bakari kwenye Jengo la Utawala
la Bunge mjini Dodoma Julai 4, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa
akiteta na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige (kulia) na Mbunge wa
Bukene, Selemani Zedi kwenye Jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma
Julai 4, 2017. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa
akizungumza na wabunge, Abdallah Ulega wa Mkuranga (kushoto) na Stephen
Masele kwenye Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Julai 4, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiteta na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega kwenye Jengo la Utawala la
Bunge mjini Dodoma Julai 4, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon