VIDEO – UMEWAHI KUSOMA KITABU CHA NEEMA YA GESI NA MAFUTA TANZANIA? MAWAZO YA MWANDISHI NA HATUA ZA RAIS ZINAENDANA

July 03, 2017
Albano Midelo ni Mwandishi wa kitabu cha Neema ya Mafuta na Gesi Tanzania, Azungumzia sababu za kuandika kitabu hicho ambacho kimeanza kuzaa matunda kutokana nay ale aliyoyaandika, Je amepata mafanikio gani katika uandishi wa kitabu hicho ? pia azungumzia vitabu vingine anavyoviandaa kuviingiza sokoni.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »