Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi
Kijiji Cha Tula Uyui Mkoani Tabora waliojitokeza Barabarani Kumsalimia akiwa
njiani kuelekea Mkoani Dodoma akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora
Julai 25,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo
akiwa njiani katika moja ya mikutano ya barabarani kwa waliojitokeza
Kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma akitokea kwenye Ziara ya
siku tatu Mkoni Tabora Julai 25,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi wakati mheshimiwa Rais alipowasili
Mkoani Singida eneo la Itigi ili kufungua Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya
yenye urefu wa kilometa 89.5aliyojengwa na Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa
Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora Julai 25,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi
wa Itigi na Manyoni wakati wa Ufunguzi wa
Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5
iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa
asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku
tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25,2017.
Wananchi
wa Itigi na Manyoni wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwatubia kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu
wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa
akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao
Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai
25,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wapili kushoto na
Viongozi wengine wa Mkoa wa Singida,wakiondoa kitambaa kuashiria Kufunguliwa
Rasmi kwa Barabara ya Itigi -Manyoni
-Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa
akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao
Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai
25,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Viongozi wengine
wa Mkoa wa Singida na Tabora Wakikata Utepe kama ishara ya kufunguliwa Rasmi
kwa Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya
yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa
akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao
Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai
25,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akiteta jambo
na Mwakilishi wa Kampuni ya PowerChina International Group Limited nchini Bw.
Wang Chao wakati wa Ufunguzi wa Barabara
ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za
Serikali kwa asilimia mia
moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora
kwa Kupitia Singida hadi Makao Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai 25,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru na
kuwasalimia kwa kupunga mikono kwa wananchi wa Itigi na Manyoni walioshiriki na
Kushuhudia Ufunguzi wa Barabara ya Itigi
-Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali
kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa
akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora kwa Kupitia Singida hadi Makao
Makuu ya Nchi Mkoani Dodoma Julai
25,2017
EmoticonEmoticon