Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali
waliokuwa katika Ukumbi wa Mikutano wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya
41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo
kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika
Julai 13, 2017.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akimkabishi tuzo Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha
Dar es Salaam, Prof. Rwekaza Mukandala ambao wameibuka washindi wa
jumla katika Maonyesho ya Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa,
yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa
siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa
rasmi leo jijini Dar es salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akimkabishi tuzo Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba baada ya Kampuni yake
kuibuka washindi sekta ya mawasilioano, katika Maonyesho ya Maonyesho ya
41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo
kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika
Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa rasmi leo jijini Dar es salaam. Kulia ni
Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi tuzo kwa mwakilishi wa TPDC.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi tuzo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi kwa niaba ya moja ya taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi tuzo kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya ..... ambao waliibuka washindi wa tatu wa jumla katika
Maonyesho ya Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni
28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na
kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa rasmi leo jijini
Dar es salaam.
Wakuu wa Wilaya za Dar es salaam, Sophia Mjema (kulia - Ilala), Felix
Lyaviva (katikati - Temeke) pamoja na Hashim Mgandilwa (kushoto -
Kigamboni) wakiwa kwenye ufunguzi huo.
Wakuu wa vikosi vya Ulinzi na Usalama.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dr. Anna Peter Makakala.
EmoticonEmoticon