Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi
na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Iddi Mgwatu (kushoto) akimkaribisha
Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Bibi Elizabeth Tagolla kufungua kikao cha Baraza la
wafanyakazi TEMESA kinachofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango
kutoka Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mwasiliano Bibi Elizabeth Tagolla
(aliesimama) akifungua kikao cha baraza la wafanyakazi wa Wakala wa
Ufundi na Umeme (TEMESA) kinachofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar Es
Salaam.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango
kutoka Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Bibi Elizabeth Tagolla
alipokua akifungua kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi
na Umeme (TEMESA) kinachofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es
Salaam.
Wajumbe wa kikao cha Baraza la
Wafanyakazi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakiimba kwa
pamoja wimbo wa wafanyakazi. Baraza hilo la siku moja linafanyikia
uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha
Baraza la wafanyakazi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
wakifuatilia mada mbali mbali zinazo wasilishwa kwenye baraza hilo la
siku moja linalofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha
Baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakiwa
kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi Bibi Elizabeth Tagolla (aliyeketi
katikati). Baraza hilo la siku moja linafanyika uwanja wa Taifa jijini
Dar Es Salaam.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi
na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Iddi Mgwatu (kushoto) akiagana na
Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Bibi Elizabeth Tagolla (kulia) aliyekuwa mgeni rasmi katika
kikao cha baraza la wafanyakazi TEMESA kinachofanyika uwanja wa Taifa
jijini Dar Es Salaam.
Picha zote na Alfred Mgweno – TEMESA
EmoticonEmoticon