Kamishna
wa Mapato ya ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Elijah
Mwandumbya akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya usimamizi na uendeshaji
wa mashine za ukaguzi wa mizigo ‘scanner’ kutoka Mamlaka ya Usimamizi
wa Bandari Tanzania (TPA) na TRA. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa TEHAMA,
Bw. Abdulrahman Mbamba pamoja na Wakufunzi kutoka Kampuni iliyofunga
mashine hizo.
Kamishna
wa Mapato ya ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Elijah
Mwandumbya akikabidhi vyeti kwa wahitimu mbalimbali kutoka TPA na TRA.
Kamishna
wa Mapato ya ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Elijah
Mwandumbya akiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu na Wakufunzi
EmoticonEmoticon