Naibu
Inspekta Jenerali wa Polisi , Abdulrahmani Kaniki akimkabidhi cheti cha
Upelelezi Polisi Konstebo Jonathani Tossi wakati wa hafla ya kufunga
mafunzo ya upelelezi kwa askari polisi wa Kinondoni katika chuo cha
maafisa wa polisi Kidatu mkoani Morogoro
Naibu
Inspekta Jenerali wa Polisi , Abdulrahmani Kaniki akifafanua (katikati)
jambo wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya upelelezi kwa askari polisi
wa Kinondoni katika chuo cha maafisa wa polisi Kidatu mkoani Morogoro.
Kulia ni Kamishina wa Polisi operesheni na mafunzo, Nsato Marijani
Kamishina
wa Operesheni na Mafunzo ( CP) Nsato Marijani akimsikiliza mwakilishi
wa Taasisi ya Hans Sidel Bi Juliana wakati wakimsubili Naibu Inspekta
Jenerali wa Polisi kuwasili katika chuo cha maafisa wa Polisi Kidatu kwa
ajili ya kufunga mafunzo ya upelelezi kwa askari Polisi wa mkoa wa
kipolisi Kinondoni. ( picha na Tamimu Adam- Jeshi la Polisi).
Naibu
Inspekta Jenerali wa Polisi , Abdulrahmani Kaniki akisalimiana na
Kamishina wa Polisi operesheni na mafunzo, Nsato Marijani alipofika
kufunga mafunzo ya upelelezi kwa askari polisi wa Kinondoni katika chuo
cha maafisa wa polisi Kidatu mkoani Morogoro.
Naibu
Inspekta Jenerali wa Polisi , Abdulrahmani Kaniki akisamilimiana na Mkuu
wa Upelelezi wa Kinondoni Mark Njera alipofika kufunga mafunzo ya
upelelezi kwa askari polisi wa Kinondoni katika chuo cha maafisa wa
polisi Kidatu mkoani Morogoro
EmoticonEmoticon