Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo baada ya
kuwasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kushiriki
katika kuaga mwili wa Baba mzazi wa Waziri Mkuu, Mstaafu Marehemu,
Xavery Mizengo Pinda kwenye kijiji cha Zuzu, Manispaa ya Dodoma Novemba
30, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete wakiwa nyumbani
kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kwenye kijiji cha Zuzu, Manispaa
ya Dodoma ambako walishiriki katika kuaga mwili wa baba mzazi wa Waziri
Mkuu Mstaafu, marehemu Xavery Mizengo Pinda Novemba 30, 2016. Wengine
pichani kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Makamu Mwenyekiti wa
CCM (Bara), Philip Mangula.
Baadhi
ya waombolezaji walioshiriki katika kuaga mwili wa marehemu Xavery
Mizengo Pinda ambaye ni Baba mzazi wa Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo
Pinda kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
Waziri
Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda akipewa pole na Askofu wa KKKT Dayosisi ya
Mashariki na Pwani, Alex Malasusa wakati awa kuaga mwili wa Baba yake
mzazi wa Waziri Mkuu mstaafu, marehemu, Xavery Mizengo Pinda, kijijini
Zuzu kwenye Manispa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
Rais
wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akizungumza wakati aliposhiriki katika
kuaga mwili wa Marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya
Dodoma Novemba 30, 2016.
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akimpa pole Waziri Mkuu
Mstaafu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakati aliposhiriki katika kuaga
mwili wa baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee, Xavery Mizengo Pinda
kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza wakati aliposhiriki katika kuaga
mwili wa Marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri
Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma
Novemba 30, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda
na mkewe Tunu wakati aliposhiriki katika kuaga mwili wa baba mzazi wa
Waziri Mkuu Mstaafu, marehemu Xavery Mizengo Pinda kijijini Zuzu kwenye
Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akizungumza wakati wa kuaga mwili wa
marehemu baba yake, Xavery Mizengo Pinda kijijini kwake Zuzu kwenye
Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Xavery
Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akitoa heshima za
mwisho kwa marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30,
2016.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Angela Kairuki akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Xavery Mizengo
Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kijijini Zuzu
kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
Mkuu
wa Wilaya ya Dodoma,Christina Mndeme na viongozi wengine wakitoa
heshima za mwisho kwa marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi
wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma
Novemba 30, 2016.
Waziri
Mkuu, KassimMajaliwa akizungumza na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda baada ya kuaga mwili wa marehemu
Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu,
Mizengo Pinda, kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda baada ya kuaga mwili wa marehemu
Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu,
Mizengo Pinda, kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30,
2016.Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na wapili kulia
ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,
George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
EmoticonEmoticon