Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi wa
Kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wakati alipotembelea Ujenzi wa
Barabara ya Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,
alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa Barabara hiyo jana,(kushoto)
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Mwanajuma Majid Abdalla,[Picha na
Ikulu.] 07 Nov 2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na
Wananchi wa Kijiji cha Mgelema wakati alipotembelea Ujenzi wa
Barabara ya Kipapo-Mgelema Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,
alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa Barabara hiyo jana,akiwa na
ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Wanafunzi wa Skuli ya Mgelema
walipomkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipotembelea Ujenzi wa
Barabara ya Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa Barabara hiyo jana akiwa na
ujumbe aliufuatana nao,[Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha
Ngomeni shehia ya Mgelema wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwasalimia
Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Kuyuni-Ngomeni
Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara ya kutembelea
ujenzi wa Barabara hiyo jana,[Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Mwakilishi wa Kijijhi cha Ngomeni Ibrahim Zubeir Mwasiku akisoma risala kwa niaba ya wananchi wa kijiji hicho wakati Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipofika Kijijini hapo pamoja na kuwasalimia Wananchi wakati
alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani
Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa Barabara
hiyo jana,[Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Afisa Mdhamini wa Wizara ya Afya
Nd,Bakari Ali Bakari akitoa ufafanuzui wa utoaji wa huduma kwa Wananchi
wa Kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipofika
Kijijini hapo pamoja na kuwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi
wa Barabara ya Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa Barabara hiyo jana,[Picha na
Ikulu.] 07 Nov 2016.
Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha
Mgelema,shehia ya Mgelema wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwasalimia
Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Kipapo-Mgelema
Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara ya kutembelea
ujenzi wa Barabara hiyo jana,[Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Baadhi ya Viongozi wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mgelema wakati
alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Kipapo-Mgelema Wilaya ya Mkoani
Mkoa wa Kusini Pemba, alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa
Barabara hiyo jana,akiwa na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.] 07
Nov 2016.
EmoticonEmoticon