Rais wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar SMZ na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dk. Ali Mohamed
Shein akipokea mwenge kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa
Ndugu George Mbijima wakati wa sherehe za uzimaji wa Mwenge wa Uhuru
Bariadi mkoani Simiyu leo baada ya kukimbizwa nchi nzima huku kiongozi
huo akikagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuhimiza
wananchi katika uwajibikaji kwa taifa ambapo sherehe hizo zimefanyika
kitaifa mkoani humo.
Uncategories
RAIS WA ZANZIBAR DK ALI MOHAMED SHEIN AONGOZA SHUGHULI ZA UZIMAJI MWENGE MKOANI SIMIYU LEO
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon