MAMA WA MITINDO NA YASIN KAPUYA KUIWAKILISHA TANZANIA MAREKANI

October 07, 2016




Mama wa mitindo maarufu kama Asya Idarous Khamsin ataonesha mitindo  yake  kama mgeni mwalikwa kwenye "Plus Size Fashion Show" inayo tegemea kufanyika  huko Zanzibar Jumamosi ya Tarehe 8 August 2016 katika Hotel ya Grand Palace.

Asya amejipatia Shavu hili,kupitia kampuni ya mitindo ya Zanzibar inayo tambulika  kama "Style House" chini ya C.E.O Mama Titi ambaye anaishi uingereza.

Ingawa Asya anaishi Marekani lakini kwa sasa yupo  hapaTanzania kwa  ajili ya onesho hilo lenye dhumuni kubwa la kuchangia "Breast Cancer Zanzibar"
Mbali na Mama wa mitindindo, designers wengine pia watashiriki kikamilifu kwenye ufanisi Onesho hilo.

Special Apperance atakuwa ni mwigizaji Wastara Sajuki, Burudani itatolewa na 
Khadja Kopa. (Nyote mnakaribishwa).

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »