Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika uwanja
wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Zanzibar jioni hii ya Septemba 3, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
mara baada ya kurejea jijini Dar es Salaam akitokea Zanzibar. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon