Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Rais
wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang leo mara
walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10
Machi, Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti
wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang (wa pili kushoto) akiongea na Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muunhgano wa Tanzania (hayupo pichani) mara
walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10
Machi, Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiongea na Rais wa
Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang (hayupo
pichani) leo mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya
Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam. Anayemfuatia ni Naibu Spika
wa Bunge hilo, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.
Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti
wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang (wa pili kushoto) akiongea na Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hayupo pichani) mara
walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10
Machi, Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang (wa pili kushoto) na
ujumbe wake akiongea na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania (kulia ) na ujumbe wake mara walipokutana kwa ajili ya
mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya ujumbe alifuatana nao Rais wa Jamhuri ya
Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang wakifuatilia mazungumzo
yao leo mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya
Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam. .
Baadhi ya ujumbe alifuatana nao
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai
wakifuatilia mazungumzo yao leo mara walipokutana kwa ajili ya
mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
Anayemfuatia ni Naibu Spika wa Bunge hilo, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job
Ndugai (kushoto) akiongea na baadhi ya vyombo vya habari mara baada ya
kukutana na Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe. Truong Tan
Sang katika Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam. Kulia
ni Naibu Spika wa Bunge hilo, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.
Waziri wa Mambo ya
Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi
Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akiongea na baadhi ya vyombo vya habari
mara baada ya mkutano uliofanyika kati ya Rais wa Jamhuri ya
Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang na Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai katika Hoteli ya
Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es
Salaam.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan
Sang (katikati) na Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson wakiwa
katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo yaliyohusishwa na baadhi
ya ujumbe toka nchi ya Vietnam na Tanzania leo mara walipokutana kwa
ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es
Salaam.
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
EmoticonEmoticon