Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Rais Mstaafu Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete kwa kufiwa na kaka yake, Mzee Selemani Mrisho
Kikwete, wakati wa mazishi kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo
mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016PICHA NA IKULU
Mama Janeth Magufuli, mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimpa pole Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kwa kufiwa na kaka
yake, Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi kijijini Msoga,
Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimfariji Mjane wa Marehemu
Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi kijijini Msoga,
Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli
wakimfariji Mjane wa Marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete na
wanafamilia, wakati wa mazishi kijijini Msoga, Chalinze, wilayani
Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu
Hassan na Mama Janeth Magufuli, mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na Mama Salma Kikwete
wakiwa msibani kwa kaka yake Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,
MarehemuMzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi kijijini Msoga,
Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016. Wengine
kutoka kushoto ni Mama Asha Bilali, Mama Khadija Mwinyi, Mama Sitti
Mwinyi, Mama Asha Seif Ali Iddi,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea hela ya utani toka kwa
Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakati wa mazishi ya Baba yake
Mkubwa Mzee Selemani Mrisho Kikwete, kijijini Msoga, Chalinze, wilayani
Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016 wanaoshuhudia ni Rais wa
Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Rais wastaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,
Mhe. Benjamin Mkapa, Alhaj Ally Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu Mstaafu
Mhe John Malecela. Katika utamaduni wa Kitanzania Wakwere na Wasukuma ni
watani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi hela ya utani kwa
mkaazi wa Chalinze ambaye ni Muskumu Bwana Luhende baada ya kuipokea
toka kwa Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakati wa mazishi ya
Baba yake Mkubwa Mzee Selemani Mrisho Kikwete, kijijini Msoga, Chalinze,
wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016 wanaoshuhudia ni Rais
wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Rais wastaafu Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete, Mhe. Benjamin Mkapa, Alhaj Ally Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu
Mstaafu Mhe John Malecela. Katika utamaduni wa Kitanzania Wakwere na
Wasukuma ni watani.
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya kaka yake, Mzee
Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi kijijini Msoga, Chalinze,
wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa
wa Shinayang Bw. Khamis Mgeja akiongea na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais MStaafu Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete wakati wa Mazishi ya Marehemu Mzee Selemani Mrisho
Kikwete, kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo
Machi 5, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.
John Pombe Magufuli akiweka mchanga kwenye kaburi la Mzee Selemani
Mrisho Kikwete huko Msoga mkoani Pwani. Mzee Selemani Kikwete alikuwa
kaka mkubwa wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Rais wa awamu ya Pili Mzee Ali
Hassan Mwinyi wakimsikiliza kwa Makini Rais Mstaafu wa awamu ya nne
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifafanua jambo huko Msoga Mkoani
Pwani.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akimfafanulia jambo Rais wa Jamhuri ya Muungano
Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya mazishi ya Kaka yake Marehemu Mzee
Selemani Mrisho Kikwete huko Msoga mkoani Pwani.
Kada wa Chadema Hamis Mgeja
akimsalimia Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli kabla
ya mazishi ya Marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete huko Msoga mkoani
Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Profesa Ibrahimu Haruna Lipumba
kabla ya mazishi ya Marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete huko Msoga
mkoani Pwani.PICHA NA IKULU