Makamu
Mwenyekiti wa Chama Cha Waajiri (ATE), Zuhura Muro akizungumza katika
hafla ya Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam juzi. Hafla hiyo
iliandaliwa na ATE kwa ushirikiano na kampuni ya Kazi Services Ltd jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Mradi wa Program ya Mwanamke wa Wakati Ujao ya
Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Lilian Machera (kulia) akibadilishana
mawazo na Mkuu wa Masako na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Neema
Rose Singo katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
iliyoandaliwa na ATE kwa ushirikiano na kampuni ya Kazi Services Ltd
jijini Dar es Salaam juzi.
Mratibu
wa miradi wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Joyce Nangai (wa pili
kushoto), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One,
Joyce Mhaville katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
iliyoandaliwa na ATE kwa ushirikiano na kampuni ya Kazi Services Ltd
jijini Dar es Salaam juzi.
Mratibu wa Mradi wa Program ya Mwanamke wa Wakati Ujao ya
Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Lilian Machera (wa pili kushoto)
akibadilishana mawazo na Mkuu wa Masako na Mawasiliano wa Benki ya NBC
Tanzania, Neema Rose Singo katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya
Wanawake Duniani iliyoandaliwa na ATE kwa ushirikiano na kampuni ya Kazi
Services Ltd jijini Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya washiriki wa hafla hiyo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
Baadhi ya watumishi wa ATE wakipozi kwa picha katika hafla hiyo.