MUONEKANO WA KITUO KIPYA CHA KUSUKUMA MAJI RUVU DARAJANI KIKIWA KIMEKAMILIKA

February 14, 2016

IMG-20160213-WA0000 IMG-20160213-WA0001 IMG-20160213-WA0002Muonekano wa kituo kipya cha kusukuma maji kilichopo eneo la Ruvu Darajani kikiwa kimekamilika ambapo kitakuwa kinasukuma maji kwenda katika mtambo wa Ruvu Juu.
Pampu moja ya kituo hicho inauwezo wa kusukuma maji lita milion 60 kwa siku kuna jumla ya pampu mpya tatu na pampu mbili zitakuwa zinafanya kazi kwa wakati mmoja.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »