Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akifungua Mkutano wa
Baraza la Wafanyakazi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (hawapo pichani),
katika ukumbi wa Chuo cha Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji,Rogatius Kipali, akitoa shukrani kwa mgeni rasmi,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira (hayupo pichani), baada ya kufungua Mkutano wa Baraza la
Wafanyakazi wa Jeshi hilo uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha
Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (wa tatu kutoka kulia),
akiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na washiriki wa mkutano
wa Baraza la wafanyakazi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, ulifanyika
katika ukumbi wa Chuo cha Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam. Wa tatu
kutoka kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji,Injinia Pius Nyambacha na wa poli kutoka kushoto ni Mkurugenzi
wa Utalawa na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Lilian Mapfa.
(Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
EmoticonEmoticon