DR. JOHN POMBE MAGUFULI AITEKA MANISPAA YA BUKOBA

September 21, 2015

1
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Gymkana mjini Bukoba leo akiomba kura za ndiyo kwa wananchi wa mkoa huo kumpigia kura za ndiyo kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaifikapo Oktoba 25 mwaka huu ili aweze kuwatumikia watanzania.
Mgombea urais huyo Dk. John Pombe Magufuli amesema mara atakapochaguliwa na watanzania na kuunda baraza lake la mawaziri , Kazi ya kwanza ya waziri wake wa kilimo ni kuhakikisha anatatua tatizo la bei ya zao la kahawa ambapo ameahidi kuwa serikali yake itapunguza kodi mbalimbali zaidi ya 27 zinazotozwa kwa wakulima wakati wa uuzaji wa zao la kahawa ili kuipandisha bei ya zao hilo na kuwafaidisha wakulima ambao ndiyo wanaoteseka katika kilimo cha zao hilo.(PICHA NA JOHN BUKUKU -FULLSHANGWE-BUKOBA)
2
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mbunge na madiwani wa jimbo la Bukoba mjini hawapo mpichani wakati wa mkutano huo wa kampeni mjini Bukoba.
3
Mgombea Ubunge wa jimbo la Bukoba mjini Mh. Balozi Khamis Kagasheki akimuombea kura Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli na kujipigia debe yeye mwenyewe.
4
Mwanamuziki Diamond Platnumz na kundi lake wakitumbuiza katika mkutano huo wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Gymkana mjini Bukoba.
5
Mwanamuziki Diamond Platnumz akitumbuiza katika mkutano huo wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Gymkana mjini Bukoba.
6
Mgombea udiwani kata ya Chanji mjini Sumbawanga akimpigia debe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli.
7
Mgombea ubunge kupitia vijana mkoa wa Kagera Halima Bulembo akizungumza katika mkutano huo.
8
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwa amekaa na Mgombea ubunge wa jimbo la Bukoba mjini Mh. Balozi Khamis Kagasheki.
????????????????????????????????????
Mgombea Ubunge wa jimbo la Muleba Kaskazini Mh. Charles Mwijage akizungumza katika mkutano huo na kuwapigia debe wabunge wa viti maalum mkoa wa Kagera kulia ni Halima Bulembo na kushoto ni Oliver Semguruka.
14
Kada wa CCM Amon Mpanju akimpigia debe Dk John Pombe Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Maruku Bukoba Vijijini.
13
Mmoja wa wananchi akiwa amejikinga na jua kwa bango lenye picha ya Dr. John Pombe Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Maruku Bukoba vijijini.
12
Wasanii Mh. Temba kulia na Chege wakikamua jukwaani.
11
Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika mkutano huo uliofanyika viwanja vya Gymkana Bukoba mjini.
10
Msanii Fid Q akiwapa mistari wananchi wa Bukoba mjini.
15
Baba na Mwana! Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Ndugu Abdallah Bulembo akizungumza jambo na mwanaye Halima Bulembo ambaye ni Mgombea Ubunge viti maalum vijana Mkoa wa Kagera.
16
Jasson Samson Rweikiza mgombea ubunge Bukoba vijijini akiomba kura kwa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Maruku Bukoba vijijini.
17
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akizungu za na mgombea ubunge wa jimbo la Bukoba vijijini Jasson Samson Rweikiza.
18 
Hapa ni CCM tu!
19
Hapa ni Kijani Tu mjini Biharamulo.
24
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi katika kata ya Nshamba Muleba Kusini wakati akiwa njiani kuelekea Kamachumu mkoani Kagera.
 22
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mgombea ubunge jimbo la Muleba Kaskazini Mh. Charles Mwijage na Mwenyekiti wa Wazazi CCM Taifa Abdallah Bulembo mjini Kamachumu.
21
Mgombea ubunge jimbo la Muleba Kaskazini Mh. Charles Mwijage akiwahutubia wananchi wa Kamachumu katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Muleba Kaskazini.
20
Watu wa Muleba na rangi ya kijani Kamachumu.
26
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimfariji Jojia Osward mke wa Marehemu Osward Lwakabwa aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Muleba aliyefariki kwa ajali jana mjini Muleba
27
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimfariji kaka wa marehemu Osward Lwakabwa Mzee Elias Lwakabwa wakati alipohani msiba wa mwana CCM huyo aliyefaiki kwa ajali jana.
28
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na watoto wa Marehemu Osward Lwakabwa aliyefariki kwa ajali ya pikipiki kulia ni Fratenus Osward na Adelitus Osward.
29
CCM hoyee kijana akiwa ameshika mabango ya picha yenye picha za Dk. John Magufuli.
????????????????????????????????????
Diamond Platnumz na kundi lake wakitumbuiza mjini Bukoba wakati wa mkutano wa kampeni za CCM mjini Bukoba.
????????????????????????????????????
Diamond Platnumz akifanya vitu vyake.
????????????????????????????????????
Nyomi ya Bukoba hiyo.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Yamoto Bandi kama kawa jukwaani.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »