Balozi wa Tanzania
nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe.
Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White
House). Washington DC siku ya Alhamisi Septemba 17, 2015.
Mhe. Wilson Masilingi
Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya
kukabidhi hati za utambulisho Ikulu ya Marekani(White House) siku ya Alhamisi Septemba 17, 2015. Kutoka
kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa
Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella
Masilingi. Mke wa Balozi.
Wafanyakazi wa Ubalozi
wa Tanzania Nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Wilson
Masilingi na familia yake mara baada ya kurudi nyumbani kwake Bethesda,
Maryland alipotoka kukabidhi hati za Utambulisho kwa Rais Barack Obama siku ya Alhamisi Septemba 17, 2015.