Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akizindua stika maalumu zing’aazo zitakazosaidia kupunguza ajali kwakuwa
magari makubwa yataonekana kwa mbali na waendesha magari wengine hivyo
kuepisha magari kugongana.kulia ni Kamanda Mkuu wa Usalma Barabarani
kitaifa Mohamed Mpinga.
(picha na Freddy Maro)
Askari wa kikosi cha usalama
barabarani akimuonesha Rais Kikwete kidhibiti mwendo cha magari maarufu
kama tochi wakati Rais liapotembelea mabanda ya maonyesho wakati wa wiki
ya usalama barabarani ilkiyofanyika kitaifa mkoani Tanga.
Mtoto wa shule ya msingi mjini
Tanga Doreen John akitoa maelezo ya matumizi sahihi ya barabara kwa Rais
Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete wakati Rais alipotembelea mabanda kadhaa ya
maonyesho katika viwanja vya Tangamano,mjini Tanga wakati wa maadhimisho
ya sherehe ya wiki ya nenda kwa usalama iliyofanyika mkoani Tanga.
EmoticonEmoticon