Mgombea
nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)
Abbas Mtemvu (wapili kulia), akirudisha Fomu katika Ofisi za Chama
hicho kwa Katibu wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema
(kulia) Dar es Salaam jana,hivyo mtemvu akiwa anatetea Jimbo lake tena .
walio kushoto ni baadhi ya viongozi mbalimbali wa Jimbo la temeke wa
chama hicho waliomsindikiza mbunge huyo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Katibu
wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema (kulia) akihakiki
Fomu za Mbunge huyo mara alipokuwa akirudisha Ofisini hapo
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi
(CCM) Abbas Mtemvu (wapili kulia aliye kaa) akiwa ofisini hapo
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi
(CCM) Abbas Mtemvu (wa katikati) akiongea na waandishi wa habari mara
alipo kuwa amewasilisha fomu.
Mbunge
wa Viti maalum Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake
Tanzania, Mariam Kisangi, akiongea jambo na waadishi wa habari mara
baada ya Mbunge huyo kurudisha fomu
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo
la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa chama hicho.wakiwemo madiwani
na wenyeviti walio msindikiza mbunge huyo
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi
(CCM) Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama
wa chama hicho.wakiwemo madiwani na wenyeviti walio msindikiza mbunge
huyo
(CCM) Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama
wa chama hicho.wakiwemo madiwani na wenyeviti walio msindikiza mbunge
huyo
EmoticonEmoticon