Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Sandton Internationa Center
unakofanyika mkutano wa wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika huko
Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015. Aliyefuatana na Mama
Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby
Itno
PICHA ZOTE NA JOHN LUKUWI.
Mke wa Rais Mama Saloma Kikwete
akiangalia moja ya machapisho mbalimbali yanayohusiana na Mkutano wa
Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika (OAFLA) unaofanyika nchini
Afrika Kusini.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao cha Wake wa Marais na Wakuu wa
Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Sandton jijini
Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015.
Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za
Afrika wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano
wao wa mwaka unaozungumzia uwezeshaji kwa wanawake na Maendeleo katika
Bara hili.
EmoticonEmoticon