MAY 30 2015 Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha ilikuwa siku ambayo Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza
rasmi kwamba ataomba kibali cha CCM ili agombee Urais wa TZ mwaka
huu.Baada ya hapo watu wakaigeukia stage ya burudani ambapo ilikuwepo
list pia ya mastaa wa Bongo Fleva ambao walipiga show ya nguvu.
EmoticonEmoticon