MKUTANO WA KUJADILI NAMNA YA KUKABILIANA NA MAAFA MBALIMBALI WAFANYIKA ZANZIBAR.

February 10, 2015

1
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipoingia katika mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.
2
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akisalimiana na Command Surgeo Usafricom Philip C Knight Sheen alipoingia katika mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.
3
Baadhi ya Viongozi wa Nchi Tano za mataifa mbalimbali walioshiriki katika mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar
4
Command Surgeo Usafricom Philip C Knight Sheen akitoa hotuba yake katika mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.
5
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohd Aboud Mohd kitoa hotuba yake katika mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.
6
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitoa hotuba katika mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.
7
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi tano za mataifa mbalimbali waliohudhuria mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »