Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk.Mwinyihaji Makame
Mwadini akisalimiana na wageni waliohudhuria katika ufunguzi wa Kiwanja
kipya cha Mchezo wa Gofu jana uzinduzi alioufanya kwa niaba ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
katika Hoteli ya Sea Cliff iliyopo Kiombamvua Wilaya ya Kaskazini B.
Mkoa wa kaskazini Unguja.
Picha na Ikulu
Mwenyekiti wa Kampuni ya Sea Cliff Resort and Spa Zamzibar Bw.Subhash Patel (kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini baada ya kufungua kiwanja kipya cha Mchezo
wa Gofu jana alipomuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Hoteli ya Sea Cliff iliyopo
Kiombamvua Wilaya ya Kaskazini B. Mkoa wa kaskazini Unguja.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk.Mwinyihaji Makame
Mwadini akitoa hutuba ya ufunguzi wa kiwanja kipya cha Mchezo wa Gofu
kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Hoteli ya
Sea Cliff iliyopo Kiombamvua Wilaya ya Kaskazini B. Mkoa wa Kaskazini
Unguja.
Msimamizi na Mtengenezaji wa ujenzi wa kiwanja kipya cha mchezo wa Gofu
Bw.Peter Matkovich kutoka Afrika Kusini alipokuwa akitoa shukurani zake
wakati wa sherehe za ufunguzi wa kiwanja hicho jana katika Hoteli ya Sea Cliff iliyopo Kiombamvua Wilaya ya Kaskazini B. Mkoa wa Kaskazini Unguja,
Baadhi
ya wageni mbali mbali kutoka Ndani na nje ya Zanzibar wakiwa katika
sherehe za Ufunguzi wa kiwanja kipya cha mchezo wa Gofu kilichofunguliwa
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini kwa niaba ya Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
katika Hoteli ya Sea Cliff iliyopo Kiombamvua Wilaya ya Kaskazini B.
Mkoa wa kaskazini Unguja,
EmoticonEmoticon