Mkurugenzi
Mkuu wa Hospitali Kuu ya Mnazmmoja Dkt. Jamala Adam Taib akizungumza na
Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema
wakati wa hafla ya makabidhiano ya mashuka ya wodi ya akinamama na
watoto ikiwa ni maadhimimisho ya miaka 50 tokea kuanzishwa chuo hicho.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Mkuu
wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema akitoa
maelezo kuhusu maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo katika hafla ya
kukabidhi mashuka katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja Zanzibar, kulia ni
Naibu Mkuu wa Chuo hicho anaeshughulikia Taaluma, Utafiti na Ushauri
Dkt. Esther R. Mbise. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Mkuu
wa Chuo cha CBE Prof. Emanuel Amani Mjema akimkabidhi Mkuu wa Mkoa
Mjini Magharibi Maalim Abdalla Mwinyi msaada wa mashuka uliotolewa na
chuo hicho kwa ajili ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika hafla
iliyofanyika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja mjini Zanzibar.
Mkuu
wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis katika picha ya pamoja na
watendaji wakuu wa Chuo cha CBE na baadhi ya maafisa wa Hospitali ya
Mnazimmoja . (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar). Mkuu
wa Mkoa Mjini Magharibi Maalim Abdalla Mwinyi Khamis akiagana na Mkuu
wa Chuo cha CBE baada ya kukabidhiwa mashuka kwa ajili ya wodi ya
wanawake na watoto Hospitali Kuu ya Mnazimmoja ikiwa ni miongoni mwa
maadhimisho ya miaka 50 ya chuo hicho. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo
Zanzibar).
EmoticonEmoticon