Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi leo katika viwanja vya Ikulu
kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa
siku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji
mwezi uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani.(Picha
na Freddy Maro)
EmoticonEmoticon