Mhe Ummy Mwalimu Mbunge wa Viti
Maalum Mkoa wa Tanga na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais akifungua
mafunzo kwa wasichana wa Wilaya ya Muheza juu ya kujitambua na
kujithamini katika masuala ya Afya ya uzazi. Mafunzo hayo yamefanyika
mwishoni mwa wiki Wilayani Muheza
Wasichana wa Wilaya ya Muheza
wakifanya majadiliano na mawasilisho katika vikundi juu ya changamoto
wanazokumbana nazo katika kipindi cha ujana.
Wasichana wa Wilaya ya Muheza
wakifanya majadiliano na mawasilisho katika vikundi juu ya changamoto
wanazokumbana nazo katika kipindi cha ujana.
Mhe Ummy Mwalimu Mbunge wa Viti
Maalum Mkoa wa Tanga na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya kujitambua na
kujithamini Wilayani Muheza mwishoni mwa wiki.
EmoticonEmoticon