Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) Mwenyekiti wa Wilaya ya Mfenesini
Kichama Mjumbe Msuri wakiwa katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu
Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama nje ya Mji wa Unguja
katika mkutano maalum wa kuimarisha Chama kwa Mabalozi na Wenyeviti wa
Maskani,{Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika ukumbi wa
Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi
Kichama akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM
katika Wilaya ya Mfenesini, {Picha na Ikulu.]
EmoticonEmoticon