JENGO LA OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA KAMA VINAVYOONEKANA KATIKA PICHA |
KUSHOTO NI WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI,MHE DKT TITUS KAMANI AKIMSIKILIZA MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA MARA BAADA YA KUWASILI MKOANI TANGA KWA AJILI YA ZIARA YA KIKAZI |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE:DKT TITUS KAMANI KUSHOTO AKIMPA ZAWADI MSHINDI WA KWANZA WA SHINDANO LA MAZIWA LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA JUKWAA LA MAZIWA TANZANIA |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE:DKT TAITUS KAMANI AKIKABIDHIWA ZAWADI MSHINDI WA PILI KATIKA SHINDANO HILO |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE:DKT TAITUS KAMANI AKIMKABIDHI ZAWADI MSHINDI WA TATU ALIYEIBUKA MSHINDI KATIKA SHINDANO HILO |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE:DKT TAITUS KAMANI KUSHOTO AKIANGALIA JINSI MAZIWA YANAVYOKAMULIWA KWA KUTUMIA NJIA SAHIHI ZA KUKAMUA MODULI YA KIWELE CHA NG'OMBE |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE:DKT TAITUS KAMANI AKIANGALIA KWA UMAKINI MAZIWA YANAVYOKAMULIWA KWA KUTUMIA NJIA SAHIHI ZA KUKAMUA MODULI YA KIWELE CHA NG'OMBE |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE:DKT TAITUS KAMANI KUSHOTO AKIPATA MAELEZO JINSI YA MITAMBA BORA ILIYOZALISHWA KWENYE SHAMBA LAILA AGRO FARM LILILOPO PONGWE JIJINI TANGA. |
WAFANYAKAZI WA KAMPASI YA BUHURI WAKIMSIKILIZA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE.DKT TITUS KAMANI AMBAYE HAYUPO PICHANI. |
MKURUGENZI WA KAMPASI YA BUHURI PAUL SHEMPEMBA KATIKATI AKITOA MAELEZO YA MAJANI AINA YA MIKUNDE AMBAYO NI MALISHO BORA KWA MIFUGO KUSHOTO NI WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE:DKT TITUS KAMANI |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI,MHE.DKT TITUS KAMANI AKIPANDA MITI WA KUMBUKUMBU KATIKA KAMPASI YA WAKALA WA MAFUNZO YA VYUO VYA MIFUGO NCHINI BUHURI MARA BAADA YA KUITEMBELEA WAKATI AKIWA KWENYE ZIARA YAKE YA KIKAZI MKOANI TANGA. |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI KWA KWANZA KULIA AKIPATA MAELEZO KUTOKA MENEJA WA SHAMBA LA HOLLAND DIARIES BWANA LUT ZYLSTRA KUHUSU UMILIKI WA ENEO HILO |
WAZIRI WA MAENDELEO YA UVUVI NA MIFUGO KULIA MHE:DKT TITUS KAMANI AKISISITIZA JAMBO WAKATI AKIZUNGUMZA NA MENEJA WA SHAMBA LA HOLLAND DIARIES BWANA LUT ZYLSTRA WA TATU KUTOKA KUSHOTO. |
MENEJA WA SHAMBA LA HOLLAND DIARIES BWANA LUT ZYLSTRA WA TANO KUSHOTO AKIMUELEZA JAMBO WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE:DKT TAITUS KAMANI WAKATI WAZIRI HUYO ALIPOFANYA ZIARA KWENYE SHAMBA HILO. |
MSAIDIIZI WA MENEJA WA SHAMBA HILO MR.MTUNGUJA AKIMKABIDHI TAARIFA YA SHAMBA HILO WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE:DKT TITUS KAMANI |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE:DKT TITUS KAMANI AKIPEWA MAELEZO NA DAKTARI WA SHAMBA LA UZALISHAJI WA MITAMBA LA MRUAZI DKT ALLY SAIDI MAJANI. |
MTAALAMU WA MIFUGO WA KUPANDISHA NG'OMBE,MBEGU BORA AINA YA KIKE KATIKA SHAMBA LA MITAMBA LA MRUAZI BWANA WILIAM MGUNYA AKITOA MAELEZO KWA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE:DKT TITUS KAMANI. |
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI,MHE:DKT TITUS KAMANI AKIANGALIA NDAMA BORA WALIOZALISHWA KUTOKA KWA MAJIKE YA ASILI. |
DKT.ALLY SAIDI MARIJANI KUTOKA SHAMBA LA MITAMBA LA MRUAZI KATIKATI AKIONYESHA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE:DKT TITUS KAMANI NG'OME WAZAZI WANAOHAMILISHWA KWA KUTUMIA MBEGU BORA ZA MADUME ZA KIKE |
PICHA ZOTE KWA HISANI YA BLOG YA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI.
www.habarimfugouvuvi.blogspot.com
EmoticonEmoticon