Kocha mpya Patrick Phiri. Picha yaMaktaba. |
Kocha
mpya Mzambia Patrick Phiri ametua Dar muda mfupi uliopita kwa ajili ya
kusaini mkataba wa kuinoa Simba. Hivi sasa yupo njiani kuelekea klabuni
hapo akitokea Uwanja wa Ndege.
HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI
EmoticonEmoticon