Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akipokea shada la maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako
atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic
Forum for Africa).
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akilakiwa na maafisa mbalimbali wa Tanzania na Nigeria jijini Abuja, Nigeria,
usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi
Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).

akiongozana na Waziri wa Nishati wa Nigeria Profesa Chinedu Ositadinma
Nebo na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe Daniel Ole Njoolay baada ya
kupokewa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja,
Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa
Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maafisa mbalimbali wa Tanzania
na Nigeria jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako
atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World
Economic Forum for Africa).
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Daniel Ole Njoolay, Waziri wa
Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Mhe. Mohammed Aboud Mohammed baada
ya kuwasili jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano
wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for
Africa). PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon