MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI LEO MJINI DODOMA

May 15, 2014

PG4A9305  
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa  Nkasi Kaskazini, Ally Keissy Mohamed, bungeni mjini Dodoma Mai 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9316 
Mbunge wa Viti Maalum, Mchungaji Dr. Getrude Rwakatare  (kulia) akizungumza na  Mbunge wa Ileje, Aliko Kibona, bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9343  
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A9393 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9391 
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr.Asha-Rose Migiro  akisoma hotuba ya bajeti ya Wizara  yake bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »