SHOW ROOM YA MAGARI YATEKETEA KWA MOTO MWENGE DAR
Duka
la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara
ya Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha
hasara ambayo bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo
hakijafahamika.Magari yakiwa yameteketea kwa moto.
Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari.
EmoticonEmoticon