*RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MEJA JENERALI KEVIN MSEMWA LEO
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete
wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Utafiti na
maendeleo ya Jeshi katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
marehemu Meja Jenerali Kevin Gerald Msemwa wakati wa hafla ya kuaga
mwili wake iliyofanyika katika uwanja wa makao makuu ya Jeshi la Ulinzi
la Wananchi Upanga jijini Dar es salaam leo April 6, 2014. Meja Jenerali
Msemwa alifariki April 3, 2014 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo
jijini Dar es salam.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete
wakitoa mkono wa pole kwa wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho
kwa aliyekuwa Kamishna wa Utafiti na maendeleo ya Jeshi katika Wizara ya
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa marehemu Kevin Gerald Msemwa wakati
wa hafla ya kuaga mwili wake iliyofanyika katika uwanja wa makao makuu
ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Upanga jijini Dar es salaam leo April 6,
2014. Meja Jenerali Msemwa alifariki April 3, 2014 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salam.
EmoticonEmoticon