Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) na Mwakilishi wa Umoja wa
Ulaya wa Mambo ya Nje na Usalama, Bi. Catherine Ashton wakiweka saini
Mkataba wa Kubadilishana Maharamia wanaokamatwa Bahari Kuu. Mkataba huo
ulisainiwa mjini Brussels, Ubelgiji hivi karibuni. Mhe. Membe
alifwatana na ujumbe wa Rais kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja
wa Ulaya na
Afrika unaofanyika mjini Brussels.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa, Mhe. Benard K. Membe (Mb.)
na Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya wa Mambo ya Nje na Usalama, Bi.
Catherine Ashton wakipeana mkono mara baada ya kusaini mkataba huo.Picha Kutoka Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
EmoticonEmoticon