Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka mkoa wa Kigoma kuelekea Karema mkoani Katavi kwa siku nne.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa kijiji cha
Sigunga wilayani Uvinza mkoani Kigoma alipowasili kijijini hapo
kuzungumza wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi,wengine
wanaonekana kwenye picha ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa
Machibya, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Balozi Ali Abeid Karume.
Katibu
Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiondoka kijijini Sigunga baada ya
kuzungumza wananchi na
wanachama wa Chama Cha Mapinduzi,wengine wanaonekana kwenye picha ni
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi anayepiga kasia na Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Balozi Ali Abeid Karume.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitembea kwenye mitaa ya kijiji
cha Mgombo Kata ya Buhingu wakati aliposimama kuwasalimia wanakijiji
hao,Kinana ni Katibu Mkuu wa kwanza wa CCM kufika kijiji cha Buhingu.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wakazi wa
Karema mara baada ya kuwasili katika bandari ya Karema mkoani Katavi.
Umati wa watu uliofika kumlaki Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake walipowasili Karema mkoani Katavi
EmoticonEmoticon