Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipata
maelezo kutoka kwa watoto wa Marehemu Edward Sokoine aliyewahi kuwa
Waziri Mkuu wa Tanzania, Namelok Sokoine (MB) na Joseph Sokoine ambaye
ni Afisa katika Ubalozi wa Tanzania nchini Canada, kuhusiana na
maandalizi ya maadhimisho ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu
na Mbunge wa Monduli,Marehemu Edward Moringe Sokoine, yatakayoadhimishwa
kesho April 12. Rais Jakaya Kikwete ataongoza maadhimisho hayo pamoja
na marais na mawaziri wakuu wastaafu.
Uncategories
MAADHIMISHO YA SOKOINE NI KESHO: MBUNGE WA MONDULI MHE. EDWARD LOWASSA AKAGUA MAANDALIZI YA SOKOINE DAY, MONDULI JUU, ARUSHA
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon