Makamu
Mwenyekiti wa Kamati namba kumi (10) Salmin Awadh Salmin, akiwasilisha
uchambuzi wa Kamati yake wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba
mpya jana mjini Dodoma.
Msemaji
wa walio wachache wa Kamati namba kumi (10) Profesa Ibrahim Lipumba,
akiwasilisha maoni ya wachache kuhusu sura ya kwanza na sita ya Katiba
mpya jana mjini Dodoma.
Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samia Suluhu Hassan, akiongoza
kuomba dua wakati wa kikao cha Kamati za Bunge zilizokuwa zikiwasilisha
maoni ya kamati jana mjini Dodoma kabla ya kuanza kikao cha Bunge hilo.
Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samia Suluhu Hassan akiwasili
katika Ukumbi wa Bunge tayari kwa ajili ya kuongoza kikao cha Bunge hilo
jana mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Kamati namba moja Ummy Ally Mwalimu akiwasilisha uchambuzi wa Kamati
yake wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya jana mjini
Dodoma.
Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samia Suluhu Hassan akiwasili
katika Ukumbi wa Bunge tayari kwa ajili ya kuongoza kikao cha Bunge hilo
leo mjini Dodoma. Picha na Bunge la Katiba Maalum
EmoticonEmoticon