TANGA UWASA WAPANDA MICHE YA MKONGE ENEO LA GOFU LEO KUELEKEA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KESHO.

March 21, 2014
KAIMU MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA TANGA UWASA FARES ARAM KATIKATI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA HIYO MARA BAADA YA KUPANDA MITI YA MIKONGE KWENYE ENEO LA GOFU JIJINI TANGA IKIWA NI KUELEKEZEA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KESHO

WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA TANGA UWASA WAKIJIANDAA KUPANDA MICHEZO YA MKONGE KWENYE ENEO LA GOFU JIJINI TANGA WA PILI KUTOKA KUSHOTO NI PRA WA MAMLAKA HIYO MWANAUWANI BAWAZIRI


KAIMA MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TANGA UWASA FARES ARAM AKIPANDA MCHE WA MKONGE KWENYE ENEO LA GOFU JIJINI TANGA LEO IKIWA NI MAANDALIZI YA KUELEKEA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI.



PRA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA,TANGA UWASA MWANAUWANI BAWAZIRI AKIWEKA UDONGO KWENYE MCHE WA MKONGE MARA BAADA YA KUUPANDA LEO ENEO LA GOFU JIJINI TANGA.

HAPA AKIENDELEA KUPANDA MCHE WA MKONGE.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA TANGA TANGA PRESSE CLUB,HASSANI HASHIM AKIPANDA MCHE WA MKONGE LEO ENEO LA GOFU JIJINI TANGA ANAYESHUHUDUA KATIKATI NI PRA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TANGA TANGA UWASA MWANAUWANI BAWAZIRI.

HAPA  NI PRA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA JIJINI TANGA TANGA UWASA ,MWANAUWANI BAWAZIRI AKIBADILISHANA MAWAZO NA MWANDISHI WA CHANNEL TEN TANGA ,HASSAN HASIMU MARA BAADA YA KUMALIZA KUPANDA MTI HUO LEO.

MWANDISHI WA GAZETI LA MTANZANIA MKOANI TANGA AMINA OMARI AKIPANDA MCHE WA MKONGE LEO ENEO LA GOFU JIJINI TANGA.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »