*RIDHIWANI KIKWETE AITEKA BWILINGU
Mgombea
wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani
Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Matuli Kata ya Bwilingu na
kuwaambia CCM ni Chama pekee kinachoweza kuahidi na kutekeleza yale
yalioahidiwa.
Mgombea
wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya CCM Ndugu Ridhiwani
Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Vijana CCM
Ndugu Martine Shigela wakati wa mkutano wa kampeni za CCM kijiji cha
Matuli kata ya Bwilingu.
Mgombea
Ubunge jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wakina mama
wa kimasai waliokuja kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni kijiji cha
Matuli.
Mjumbe
wa Halmshauri Kuu wa CCM Taifa Ndugu Ridhiwani Kikwete akipandisha
bendera baada ya kufungua shina la wakereketwa la Msimamo.
Msanii
maarufu Dokiii akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakina Mama wa Kimasai
wakati wa mkutano wa kampeni za Ubunge kupitia CCM kwenye kijiji cha
Matuli
Msanii Hafsa Kizinja akitumbuiza huku mgombea wa Ubunge CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete kijiji cha Matuli.
EmoticonEmoticon